1 Timotheo 5:13
1 Timotheo 5:13 Biblia Habari Njema (BHN)
Wajane kama hao huanza kupoteza wakati wao wakizurura nyumba hata nyumba; tena ubaya zaidi ni kwamba huanza kuwasengenya watu, na kujitia katika mambo ya watu wengine, huku wakisema mambo ambayo hawangepaswa kusema.
Shirikisha
Soma 1 Timotheo 51 Timotheo 5:13 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Tena, pamoja na hayo, hujifunza kuwa wavivu, wakizungukazunguka nyumba kwa nyumba; wala si wavivu tu, lakini ni wachongezi na wadadisi, wakinena maneno yasiyowapasa.
Shirikisha
Soma 1 Timotheo 5