1 Timotheo 4:4
1 Timotheo 4:4 Biblia Habari Njema (BHN)
Kila kitu alichoumba Mungu ni chema, wala hakuna kinachohitaji kukataliwa, bali vyote vipokelewe kwa sala ya shukrani
Shirikisha
Soma 1 Timotheo 41 Timotheo 4:4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa maana kila kiumbe cha Mungu ni kizuri, wala hakuna cha kukataliwa, kama kikipokewa kwa shukrani
Shirikisha
Soma 1 Timotheo 4