1 Timotheo 3:6
1 Timotheo 3:6 Biblia Habari Njema (BHN)
Mtu ambaye hajakomaa bado katika imani asifanywe kuwa kiongozi katika kanisa, asije akajaa majivuno na kuhukumiwa kama vile Ibilisi alivyohukumiwa.
Shirikisha
Soma 1 Timotheo 31 Timotheo 3:6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Wala asiwe mtu aliyeongoka karibu, asije akajivuna akaanguka katika hukumu ya Ibilisi.
Shirikisha
Soma 1 Timotheo 3