1 Timotheo 3:2
1 Timotheo 3:2 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Basi imempasa askofu awe mtu asiyelaumika, mume wa mke mmoja, mwenye kiasi na busara, mtu wa utaratibu, mkaribishaji, ajuaye kufundisha
Shirikisha
Soma 1 Timotheo 31 Timotheo 3:2 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, askofu anapaswa kuwa mtu asiye na lawama; anapaswa awe na mke mmoja tu, awe mwenye kiasi, nidhamu na utaratibu; ni lazima awe mkarimu na anayeweza kufundisha
Shirikisha
Soma 1 Timotheo 31 Timotheo 3:2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi imempasa askofu awe mtu asiyelaumika, mume wa mke mmoja, mwenye kiasi na busara, mtu wa utaratibu, mkarimu, ajuaye kufundisha
Shirikisha
Soma 1 Timotheo 3