Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Timotheo 1:7 - Compare All Versions

1 Timotheo 1:7 BHN (Biblia Habari Njema)

Wanapenda kuwa waalimu wa sheria, lakini hawaelewi maneno yao wenyewe au mambo wanayosisitiza.

1 Timotheo 1:7 SRUV (Swahili Revised Union Version)

wakitaka kuwa waalimu wa sheria, ingawa hawayafahamu wasemayo wala mambo yale wayanenayo kwa uthabiti.

1 Timotheo 1:7 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

wapenda kuwa waalimu wa sheria, ingawa hawayafahamu wasemayo wala mambo yale wayanenayo kwa uthabiti.

1 Timotheo 1:7 NEN (Neno)

wanataka kuwa walimu wa sheria, lakini hawajui mambo yale wanayosema wala hayo wanayoyatumainia kwa uthabiti.