1 Timotheo 1:6-7
1 Timotheo 1:6-7 Biblia Habari Njema (BHN)
Watu wengine wamepotoka na kugeukia majadiliano yasiyo na maana. Wanapenda kuwa waalimu wa sheria, lakini hawaelewi maneno yao wenyewe au mambo wanayosisitiza.
Shirikisha
Soma 1 Timotheo 11 Timotheo 1:6-7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Wengine wakiyakosa hayo wamegeukia maneno ya ubatili; wakitaka kuwa waalimu wa sheria, ingawa hawayafahamu wasemayo wala mambo yale wayanenayo kwa uthabiti.
Shirikisha
Soma 1 Timotheo 1