1 Timotheo 1:2
1 Timotheo 1:2 Biblia Habari Njema (BHN)
nakuandikia Timotheo mwanangu halisi katika imani. Nakutakia neema, huruma na amani kutoka kwa Mungu Baba yetu na Kristo Yesu Bwana wetu.
Shirikisha
Soma 1 Timotheo 11 Timotheo 1:2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
kwa Timotheo, mwanangu halisi katika imani. Na iwe kwako neema, rehema na amani, zitokazo kwa Mungu Baba na kwa Kristo Yesu Bwana wetu.
Shirikisha
Soma 1 Timotheo 1