1 Timotheo 1:16
1 Timotheo 1:16 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Lakini kwa ajili hii nalipata rehema, ili katika mimi wa kwanza, Yesu Kristo audhihirishe uvumilivu wake wote; niwe kielelezo kwa wale watakaomwamini baadaye, wapate uzima wa milele.
Shirikisha
Soma 1 Timotheo 11 Timotheo 1:16 Biblia Habari Njema (BHN)
lakini Mungu alinionea huruma, ili Kristo aoneshe uvumilivu wake wote kwangu mimi, kama mfano kwa wale wote ambao baadaye watamwamini na kupokea uhai wa milele.
Shirikisha
Soma 1 Timotheo 11 Timotheo 1:16 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini kwa ajili hii nilipata rehema, ili katika mimi wa kwanza, Yesu Kristo audhihirishe uvumilivu wake wote; niwe kielelezo kwa wale watakaomwamini baadaye, wapate uzima wa milele.
Shirikisha
Soma 1 Timotheo 1