1 Timotheo 1:14
1 Timotheo 1:14 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini Bwana wetu alinijalia neema yake kwa wingi, akanipa imani na upendo katika kuungana na Kristo Yesu.
Shirikisha
Soma 1 Timotheo 11 Timotheo 1:14 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na neema ya Bwana wetu ilizidi sana, pamoja na imani na pendo lililo katika Kristo Yesu.
Shirikisha
Soma 1 Timotheo 1