1 Wathesalonike 5:3
1 Wathesalonike 5:3 Biblia Habari Njema (BHN)
Watu watakapokuwa wanasema: “Kila kitu ni shwari na salama”, ndipo uharibifu utakapowaangukia ghafla! Mambo hayo yatatukia ghafla kama uchungu wa uzazi unavyomjia mama anayejifungua, wala watu hawataweza kuepukana nayo.
Shirikisha
Soma 1 Wathesalonike 51 Wathesalonike 5:3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Wakati wasemapo, Kuna amani na salama, ndipo uharibifu uwajiapo kwa ghafla, kama vile uchungu umjiavyo mwenye mimba, wala hakika hawataokolewa.
Shirikisha
Soma 1 Wathesalonike 5