1 Wathesalonike 4:17-18
1 Wathesalonike 4:17-18 Biblia Habari Njema (BHN)
Kisha sisi tulio hai wakati huo tutakusanywa pamoja nao katika mawingu kumlaki Bwana hewani. Na hivyo tutakuwa daima pamoja na Bwana. Basi, farijianeni kwa maneno haya.
Shirikisha
Soma 1 Wathesalonike 41 Wathesalonike 4:17-18 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kisha sisi tulio hai, tuliosalia, tutanyakuliwa pamoja nao katika mawingu, ili tumlaki Bwana hewani; na hivyo tutakuwa pamoja na Bwana milele. Basi, farijianeni kwa maneno hayo.
Shirikisha
Soma 1 Wathesalonike 4