1 Wathesalonike 2:10
1 Wathesalonike 2:10 Biblia Habari Njema (BHN)
Nyinyi mnaweza kushuhudia, na Mungu pia ni shahidi, kwamba mwenendo wetu kati yenu nyinyi mnaoamini ulikuwa mzuri, mwadilifu na bila lawama.
Shirikisha
Soma 1 Wathesalonike 21 Wathesalonike 2:10 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ninyi ni mashahidi, na Mungu pia, jinsi tulivyokaa kwenu ninyi mnaoamini, kwa utakatifu, na kwa haki, bila kulaumiwa
Shirikisha
Soma 1 Wathesalonike 2