1 Wathesalonike 1:9
1 Wathesalonike 1:9 Biblia Habari Njema (BHN)
Watu hao wanazungumza juu ya ziara yetu kwenu: Jinsi mlivyotukaribisha, jinsi mlivyoziacha sanamu, mkamgeukia Mungu aliye hai na wa kweli
Shirikisha
Soma 1 Wathesalonike 11 Wathesalonike 1:9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa kuwa wao wenyewe wanatangaza habari zetu, jinsi kulivyokuwa kuingia kwetu kwenu; na jinsi mlivyomgeukia Mungu mkaziacha sanamu, ili kumtumikia Mungu aliye hai, wa kweli
Shirikisha
Soma 1 Wathesalonike 1