1 Wathesalonike 1:8
1 Wathesalonike 1:8 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Maana kutoka kwenu neno la Mungu limevuma, si katika Makedonia na Akaya tu, ila na kila mahali imani yenu mliyo nayo kwa Mungu imeenea; hata hatuna haja sisi kunena lo lote.
Shirikisha
Soma 1 Wathesalonike 11 Wathesalonike 1:8 Biblia Habari Njema (BHN)
Maana, kutokana na bidii yenu ujumbe wa Bwana umesikika si huko Makedonia na Akaya tu, bali imani yenu kwa Mungu imeenea popote. Tena hatuhitaji kusema zaidi.
Shirikisha
Soma 1 Wathesalonike 11 Wathesalonike 1:8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Maana kutoka kwenu neno la Mungu limevuma, si katika Makedonia na Akaya tu, ila na kila mahali imani yenu mliyo nayo kwa Mungu imeenea; hata hatuna haja sisi kunena lolote.
Shirikisha
Soma 1 Wathesalonike 1