1 Samueli 8:9
1 Samueli 8:9 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, wasikilize, lakini, waonye vikali, na waeleze waziwazi jinsi mfalme atakayewatawala atakavyowatendea.”
Shirikisha
Soma 1 Samueli 81 Samueli 8:9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi sasa, isikilize sauti yao; lakini, uwaonye sana, na kuwaonesha desturi ya mfalme atakayewamiliki.
Shirikisha
Soma 1 Samueli 8