1 Samueli 8:4-5
1 Samueli 8:4-5 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, viongozi wote wa Israeli walikusanyika pamoja, na kumwendea Samueli mjini Rama, wakamwambia, “Tazama, wewe sasa ni mzee na watoto wako hawafuati mwenendo wako. Hivyo, tuteulie mfalme wa kututawala kama yalivyo mataifa mengine.”
Shirikisha
Soma 1 Samueli 81 Samueli 8:4-5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ndipo wazee wote wa Israeli wakakutana pamoja, wakamwendea Samweli huko Rama; wakamwambia, Angalia, wewe umezeeka, na wanao hawaendi katika njia zako; basi, tuteulie mfalme atutawale kama mataifa yale mengine yote.
Shirikisha
Soma 1 Samueli 81 Samueli 8:4-5 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Ndipo wazee wote wa Israeli wakakutana pamoja, wakamwendea Samweli huko Rama; wakamwambia, Angalia, wewe umekuwa mzee, na wanao hawaendi katika njia zako; basi, tufanyie mfalme atuamue, mfano wa mataifa yote.
Shirikisha
Soma 1 Samueli 8