1 Samueli 7:6
1 Samueli 7:6 Biblia Habari Njema (BHN)
Hivyo, Waisraeli wote wakakusanyika huko Mizpa. Walichota maji na kuyamimina mbele ya Mwenyezi-Mungu, wakafunga siku ile yote na kusema, “Tumetenda dhambi mbele ya Mwenyezi-Mungu.” (Samueli alikuwa mwamuzi wa Waisraeli huko Mizpa).
Shirikisha
Soma 1 Samueli 71 Samueli 7:6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Wakakusanyika huko Mispa, wakateka maji na kuyamimina mbele za BWANA; wakafunga siku ile, wakasema huko, Tumemfanyia BWANA dhambi. Samweli akawaamua wana wa Israeli huko Mispa.
Shirikisha
Soma 1 Samueli 7