1 Samueli 6:13
1 Samueli 6:13 Biblia Habari Njema (BHN)
Watu wa Beth-shemeshi walikuwa wanavuna ngano bondeni. Walipotazama juu na kuliona sanduku la Mwenyezi-Mungu, wakafurahi sana.
Shirikisha
Soma 1 Samueli 61 Samueli 6:13 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nao watu wa Beth-shemeshi walikuwa wakivuna ngano yao bondeni; wakainua macho yao, wakaliona sanduku, wakafurahi sana kuliona.
Shirikisha
Soma 1 Samueli 6