1 Samueli 3:19-20
1 Samueli 3:19-20 Biblia Habari Njema (BHN)
Samueli aliendelea kukua na Mwenyezi-Mungu akawa pamoja naye, na yale yote aliyosema hakuna hata moja ambalo halikutimia. Watu wote kote nchini Israeli toka Dani, upande wa kaskazini, hadi Beer-sheba, upande wa kusini, wakajua kuwa Samueli alikuwa nabii mwaminifu wa Mwenyezi-Mungu.
Shirikisha
Soma 1 Samueli 31 Samueli 3:19-20 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Samweli akakua, naye BWANA alikuwa pamoja naye, wala hakuliacha neno lake lolote lianguke chini. Nao Waisraeli wote, toka Dani mpaka Beer-sheba, walitambua ya kwamba huyo Samweli amewekwa kuwa nabii wa BWANA.
Shirikisha
Soma 1 Samueli 31 Samueli 3:19-20 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Samweli akakua, naye BWANA alikuwa pamoja naye, wala hakuliacha neno lake lo lote lianguke chini. Nao Waisraeli wote, toka Dani mpaka Beer-sheba, walitambua ya kwamba huyo Samweli amewekwa kuwa nabii wa BWANA.
Shirikisha
Soma 1 Samueli 3