1 Samueli 3:17
1 Samueli 3:17 Biblia Habari Njema (BHN)
Eli akamwuliza, “Je, Mwenyezi-Mungu alikuambia nini? Usinifiche alichokuambia. Ikiwa utanificha alichokuambia, Mungu atakuadhibu vikali.”
Shirikisha
Soma 1 Samueli 31 Samueli 3:17 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Akamwuliza, Ni neno gani alilosema nawe? Nakusihi, usinifiche; Mungu akufanyie vivyo hivyo, na kuzidi, ukinificha lolote katika hayo yote BWANA aliyosema nawe.
Shirikisha
Soma 1 Samueli 3