1 Samueli 3:10
1 Samueli 3:10 Biblia Habari Njema (BHN)
Baadaye Mwenyezi-Mungu akaja na kusimama hapo, akamwita Samueli kama hapo awali, “Samueli! Samueli!” Samueli akasema, “Sema, kwani mimi mtumishi wako nasikiliza.”
Shirikisha
Soma 1 Samueli 31 Samueli 3:10 Swahili Revised Union Version (SRUV)
BWANA akaja, akasimama, akaita vile vile kama kwanza, Samweli! Samweli! Ndipo Samweli akasema, Nena, BWANA; kwa kuwa mtumishi wako anasikia.
Shirikisha
Soma 1 Samueli 3