1 Samueli 24:6
1 Samueli 24:6 Biblia Habari Njema (BHN)
Akawaambia watu wake, “Mwenyezi-Mungu anizuie nisimtendee kitendo kama hiki bwana wangu aliyepakwa mafuta na Mwenyezi-Mungu. Nisiunyoshe mkono wangu dhidi ya mtu ambaye Mwenyezi-Mungu amempaka mafuta.”
Shirikisha
Soma 1 Samueli 241 Samueli 24:6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Akawaambia watu wake, Hasha! Nisimtendee bwana wangu, masihi wa BWANA, neno hili, kuunyosha mkono wangu juu yake, kwa maana yeye ni masihi wa BWANA.
Shirikisha
Soma 1 Samueli 24