1 Samueli 23:9
1 Samueli 23:9 Biblia Habari Njema (BHN)
Daudi aliposikia mipango miovu ya Shauli dhidi yake, akamwambia kuhani Abiathari, “Kilete hapa hicho kizibao cha kuhani.”
Shirikisha
Soma 1 Samueli 231 Samueli 23:9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Naye Daudi alifahamu ya kuwa Sauli amemkusudia mabaya; akamwambia Abiathari, kuhani, Lete hapa hiyo naivera.
Shirikisha
Soma 1 Samueli 23