1 Samueli 23:15-16
1 Samueli 23:15-16 Biblia Habari Njema (BHN)
Daudi alijua kuwa Shauli alitaka kuyaangamiza maisha yake. Daudi akawa katika mbuga za Zifu, huko Horeshi. Yonathani mwana wa Shauli alimfuata Daudi huko Horeshi akamtia moyo kwamba Mungu anamlinda.
Shirikisha
Soma 1 Samueli 231 Samueli 23:15-16 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Daudi akaona ya kwamba Sauli ametoka nje ili kutafuta roho yake; naye Daudi akawako katika nyika ya Zifu, huko Horeshi. Ndipo Yonathani, mwana wa Sauli, akainuka akamwendea Daudi huko Horeshi, akamtia nguvu mkono wake katika Mungu.
Shirikisha
Soma 1 Samueli 231 Samueli 23:15-16 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Daudi akaona ya kwamba Sauli ametoka nje ili kutafuta roho yake; naye Daudi akawako katika nyika ya Zifu, huko Horeshi. Ndipo Yonathani, mwana wa Sauli, akainuka akamwendea Daudi huko Horeshi, akamtia nguvu mkono wake katika Mungu.
Shirikisha
Soma 1 Samueli 23