1 Samueli 2:22
1 Samueli 2:22 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Basi Eli alikuwa mzee sana; naye alisikia habari za mambo yote ambayo wanawe waliwatenda Waisraeli; na jinsi walivyolala na wanawake waliokuwa wakitumika mlangoni pa hema ya kukutania.
Shirikisha
Soma 1 Samueli 21 Samueli 2:22 Biblia Habari Njema (BHN)
Wakati huo Eli alikuwa mzee sana. Aliposikia yote ambayo watoto wake wa kiume walikuwa wanawatendea Waisraeli, jinsi walivyokuwa wanalala na wanawake waliokuwa wanahudumu kwenye mlango wa hema la mkutano
Shirikisha
Soma 1 Samueli 21 Samueli 2:22 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi Eli alikuwa mzee sana; naye alisikia habari za mambo yote ambayo wanawe waliwatenda Waisraeli; na jinsi walivyolala na wanawake waliokuwa wakitumika mlangoni pa hema ya kukutania.
Shirikisha
Soma 1 Samueli 2