1 Samueli 2:1
1 Samueli 2:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Halafu Hana aliomba na kusema: “Namshangilia Mwenyezi-Mungu moyoni mwangu. Namtukuza Mwenyezi-Mungu aliye nguvu yangu. Nawacheka adui zangu; maana naufurahia ushindi wangu.
Shirikisha
Soma 1 Samueli 21 Samueli 2:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Naye Hana akaomba, akasema, Moyo wangu wamshangilia BWANA, Pembe yangu imetukuka katika BWANA, Kinywa changu kimepanuka juu ya adui zangu; Kwa kuwa naufurahia wokovu wako
Shirikisha
Soma 1 Samueli 2