1 Samueli 18:1
1 Samueli 18:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Shauli alipomaliza kuzungumza na Daudi, Yonathani mwana wa Shauli, alivutiwa sana na Daudi, akampenda kwa moyo wake wote kama alivyojipenda yeye mwenyewe.
Shirikisha
Soma 1 Samueli 181 Samueli 18:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ikawa Daudi alipokwisha kusema na Sauli, roho ya Yonathani, ikaambatana na roho ya Daudi, Yonathani akampenda kama roho yake mwenyewe.
Shirikisha
Soma 1 Samueli 18