1 Samueli 17:9
1 Samueli 17:9 Biblia Habari Njema (BHN)
Akinishinda na kuniua, sisi tutakuwa watumwa wenu. Lakini nikimshinda na kumuua basi, nyinyi mtakuwa watumwa wetu na kututumikia.”
Shirikisha
Soma 1 Samueli 171 Samueli 17:9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kama akiweza kupigana nami na kuniua, sisi tutakuwa watumwa wenu; nami nikimshinda na kumwua, ninyi mtakuwa watumwa wetu, na kututumikia.
Shirikisha
Soma 1 Samueli 17