1 Samueli 17:49
1 Samueli 17:49 Biblia Habari Njema (BHN)
Akatia mkono wake mfukoni mwake, akatoa jiwe moja, akalirusha kwa kombeo lake, akampiga nalo Goliathi kwenye paji la uso wake, jiwe likalipasua paji la Goliathi na kupenya ndani. Goliathi akaanguka chini kifudifudi.
Shirikisha
Soma 1 Samueli 171 Samueli 17:49 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Daudi akatia mkono wake mfukoni, akatwaa humo jiwe moja, akalitupa kwa kombeo lake, akampiga Mfilisti katika kipaji cha uso; jiwe hilo likamwingia kipajini, akaanguka chini kifudifudi.
Shirikisha
Soma 1 Samueli 17