1 Samueli 17:37
1 Samueli 17:37 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenyezi-Mungu ambaye ameniokoa makuchani mwa simba na dubu, ataniokoa kutoka kwa Mfilisti huyu.” Shauli akamwambia, “Nenda; naye Mwenyezi-Mungu awe pamoja nawe.”
Shirikisha
Soma 1 Samueli 171 Samueli 17:37 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Daudi akasema, BWANA aliyeniokoa na makucha ya simba, na makucha ya dubu, ataniokoa na mkono wa Mfilisti huyu. Sauli akamwambia Daudi, Nenda, na BWANA atakuwa pamoja nawe.
Shirikisha
Soma 1 Samueli 17