1 Samueli 16:7
1 Samueli 16:7 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini Mwenyezi-Mungu alimwambia, “Usiangalie sura yake na urefu wa kimo chake. Mimi nimemkataa kwani siangalii mambo kama wanavyoyaangalia binadamu wenye kufa. Binadamu huangalia uzuri wa nje, lakini mimi naangalia moyoni.”
Shirikisha
Soma 1 Samueli 161 Samueli 16:7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini BWANA akamwambia Samweli, Usimtazame uso wake, wala urefu wa kimo chake; kwa maana mimi nimemkataa. BWANA haangalii kama binadamu aangaliavyo; maana wanadamu huitazama sura ya nje, bali BWANA huutazama moyo.
Shirikisha
Soma 1 Samueli 161 Samueli 16:7 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Lakini BWANA akamwambia Samweli, Usimtazame uso wake, wala urefu wa kimo chake; kwa maana mimi nimemkataa. BWANA haangalii kama binadamu aangaliavyo; maana wanadamu huitazama sura ya nje, bali BWANA huutazama moyo.
Shirikisha
Soma 1 Samueli 16