Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Samueli 13:12 - Compare All Versions

1 Samueli 13:12 BHN (Biblia Habari Njema)

nikawaza kwamba Wafilisti watakuja kunishambulia huko Gilgali. Tena nilikuwa bado sijaomba fadhili za Mwenyezi-Mungu. Ndipo nilipolazimika kutolea mimi mwenyewe sadaka ya kuteketezwa.”

1 Samueli 13:12 SRUV (Swahili Revised Union Version)

basi nikasema, Wafilisti watanishukia sasa mpaka Gilgali, kabla sijaomba fadhili za BWANA; kwa hiyo nilijishurutisha, nikatoa sadaka ya kuteketezwa.

1 Samueli 13:12 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

basi nikasema, Wafilisti watanishukia sasa mpaka Gilgali, kabla sijaomba fadhili za BWANA; kwa hiyo nalijishurutisha, nikatoa sadaka ya kuteketezwa.

1 Samueli 13:12 NEN (Neno)

nikawaza, ‘Sasa Wafilisti watateremka dhidi yangu huko Gilgali nami sijaomba kibali kwa BWANA.’ Hivyo nikalazimika kutoa sadaka ya kuteketezwa.”