1 Samueli 12:24
1 Samueli 12:24 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, nyinyi mcheni Mwenyezi-Mungu na kumtumikia kwa uaminifu kwa moyo wenu wote. Kumbukeni yale mambo makuu aliyowatendea.
Shirikisha
Soma 1 Samueli 121 Samueli 12:24 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mcheni BWANA tu, mkamtumikie kwa kweli kwa mioyo yenu yote; maana, kumbukeni jinsi alivyowatendea mambo makuu.
Shirikisha
Soma 1 Samueli 12