Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Samueli 12:21 - Compare All Versions

1 Samueli 12:21 BHN (Biblia Habari Njema)

Msiifuate miungu ya uongo isiyo na faida wala haiwezi kuwaokoa, maana ni ya uongo.

1 Samueli 12:21 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Wala msigeuke upande, maana, kufuata vitu vya ubatili

1 Samueli 12:21 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Wala msigeuke upande, maana, kufuata vitu vya ubatili

1 Samueli 12:21 NEN (Neno)

Msigeukie sanamu batili. Haziwezi kuwatendea jema, wala haziwezi kuwaokoa kwa sababu hazina maana.