1 Samueli 12:20
1 Samueli 12:20 Biblia Habari Njema (BHN)
Samueli akawajibu, “Msiogope; ingawa mmefanya uovu huu, msiache kumfuata Mwenyezi-Mungu, ila mtumikieni kwa moyo wenu wote.
Shirikisha
Soma 1 Samueli 121 Samueli 12:20 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Samweli akawaambia, Msiogope; ni kweli mmeutenda uovu huu wote; lakini msigeuke na kuacha kumfuata BWANA, bali mtumikieni BWANA kwa mioyo yenu yote.
Shirikisha
Soma 1 Samueli 12