1 Samueli 12:19
1 Samueli 12:19 Biblia Habari Njema (BHN)
Hivyo wakamwambia Samueli, “Tafadhali utuombee sisi watumishi wako kwa Mwenyezi-Mungu, Mungu wako, ili tusife; kwa sababu tumezidisha dhambi zetu kwa uovu huo wa kujitakia mfalme.”
Shirikisha
Soma 1 Samueli 121 Samueli 12:19 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Watu wote wakamwambia Samweli, Tuombee watumishi wako kwa BWANA, Mungu wako, tusije tukafa; maana tumeongeza dhambi zetu zote kwa uovu huu, wa kujitakia mfalme.
Shirikisha
Soma 1 Samueli 12