1 Samueli 12:1
1 Samueli 12:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Samueli akawaambia Waisraeli wote, “Yote mliyoniambia, nimeyasikiliza. Nimemtawaza mfalme juu yenu.
Shirikisha
Soma 1 Samueli 121 Samueli 12:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kisha Samweli akawaambia Israeli wote, Angalieni, nimeisikiliza sauti yenu katika hayo yote mliyoniambia, nami nimemtawaza mfalme juu yenu.
Shirikisha
Soma 1 Samueli 12