1 Samueli 10:9
1 Samueli 10:9 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Ikawa, alipogeuka kumwacha Samweli, Mungu akambadilisha moyo; nazo ishara zile zote zikatukia siku ile ile.
Shirikisha
Soma 1 Samueli 101 Samueli 10:9 Biblia Habari Njema (BHN)
Shauli alipogeuka ili kumwacha Samueli, Mungu akabadili moyo wa Shauli. Yale yote aliyoambiwa na Samueli yakatokea siku hiyo.
Shirikisha
Soma 1 Samueli 101 Samueli 10:9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ikawa, alipogeuka kumwacha Samweli, Mungu akambadilisha moyo; nazo ishara zile zote zikatukia siku ile ile.
Shirikisha
Soma 1 Samueli 10