1 Samueli 10:6 - Compare All Versions
1 Samueli 10:6 BHN (Biblia Habari Njema)
Roho ya Mwenyezi-Mungu itakujia kwa nguvu, nawe utaanza kutabiri pamoja nao na kugeuka kuwa mtu mwingine.
Shirikisha
1 Samueli 10 BHN1 Samueli 10:6 SRUV (Swahili Revised Union Version)
na Roho ya BWANA itakujia kwa nguvu, nawe utatabiri pamoja nao, nawe utageuzwa kuwa mtu mwingine.
Shirikisha
1 Samueli 10 SRUV1 Samueli 10:6 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na roho ya BWANA itakujilia kwa nguvu, nawe utatabiri pamoja nao, nawe utageuzwa kuwa mtu mwingine.
Shirikisha
1 Samueli 10 SUV1 Samueli 10:6 NENO (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Roho wa BWANA atakuja juu yako kwa nguvu, nawe utatoa unabii pamoja nao; nawe utageuzwa kuwa mtu wa tofauti.
Shirikisha
1 Samueli 10 NENO