1 Samueli 10:27
1 Samueli 10:27 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini watu wengine wasiofaa kitu, walisema, “Je, mtu huyu anaweza kutuokoa?” Walimdharau Shauli na hawakumpa zawadi yoyote. Lakini yeye hakukasirika.
Shirikisha
Soma 1 Samueli 101 Samueli 10:27 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini wengine wasiofaa kitu wakasema, Huyu je! Atatuokoaje? Nao wakamdharau, wasimletee zawadi.
Shirikisha
Soma 1 Samueli 10