1 Samueli 10:26
1 Samueli 10:26 Biblia Habari Njema (BHN)
Pia, Shauli pamoja na wapiganaji hodari ambao awali Mungu aligusa mioyo yao, alikwenda nyumbani kwake huko mjini Gibea.
Shirikisha
Soma 1 Samueli 101 Samueli 10:26 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Sauli naye akaenda nyumbani kwake huko Gibea; na pamoja naye wakaenda kikosi cha watu, ambao Mungu alikuwa ameigusa mioyo yao.
Shirikisha
Soma 1 Samueli 10