1 Samueli 10:25
1 Samueli 10:25 Biblia Habari Njema (BHN)
Kisha, Samueli aliwaeleza watu juu ya wajibu na haki za mfalme, akaziandika katika kitabu ambacho alikiweka mbele ya Mwenyezi-Mungu. Kisha, Samueli aliwaaga watu wote, kila mtu aende nyumbani kwake.
Shirikisha
Soma 1 Samueli 101 Samueli 10:25 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kisha Samweli aliwaambia watu kazi ya ufalme, akayaandika katika kitabu, akakiweka mbele za BWANA. Samweli akawaruhusu watu wote, waende kila mtu nyumbani kwake.
Shirikisha
Soma 1 Samueli 10