1 Samueli 10:24
1 Samueli 10:24 Biblia Habari Njema (BHN)
Samueli akawaambia watu wote, “Huyu ndiye mtu aliyeteuliwa na Mwenyezi-Mungu katika watu wote; hakuna yeyote aliye kama yeye.” Watu wote wakapiga kelele: “Aishi mfalme.”
Shirikisha
Soma 1 Samueli 101 Samueli 10:24 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Samweli akawaambia watu wote, Mnamwona mtu huyu aliyechaguliwa na BWANA, kwamba hakuna mtu mfano wake katika watu wote. Ndipo watu wote wakapiga kelele, wakasema, Mfalme na aishi!
Shirikisha
Soma 1 Samueli 10