1 Samueli 10:10
1 Samueli 10:10 Biblia Habari Njema (BHN)
Shauli na mtumishi wake walipofika huko Gibea, alilakiwa na kundi la manabii. Roho ya Mungu ilimjia kwa nguvu, na Shauli akaanza kutabiri pamoja na manabii hao.
Shirikisha
Soma 1 Samueli 101 Samueli 10:10 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi, walipofika Gibea, tazama, kikosi cha manabii wakakutana naye; kisha Roho ya Mungu ikamjia kwa nguvu, naye akatabiri kati yao.
Shirikisha
Soma 1 Samueli 10