1 Samueli 1:7
1 Samueli 1:7 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
Hili liliendelea mwaka baada ya mwaka. Kila mara Hana alipoenda katika nyumba ya BWANA, mke mwenzake alikuwa akimkasirisha hadi analia na kushindwa kula.
Shirikisha
Soma 1 Samueli 11 Samueli 1:7 Biblia Habari Njema (BHN)
Mambo haya yaliendelea mwaka baada ya mwaka. Kila mara Hana alipokwenda kwenye nyumba ya Mwenyezi-Mungu, Penina alimkasirisha Hana hata ikawa Hana analia na kukataa kula chochote.
Shirikisha
Soma 1 Samueli 11 Samueli 1:7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Tena mumewe akafanya hivyo mwaka kwa mwaka, hapo yule mwanamke alipokwea kwenda nyumbani kwa BWANA, ndivyo yule alivyomchokoza; basi, kwa hiyo, yeye akalia, asile chakula.
Shirikisha
Soma 1 Samueli 1