1 Samueli 1:5
1 Samueli 1:5 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini Elkana alimpa Hana fungu moja ingawa alikuwa anampenda sana, na Mwenyezi-Mungu hakuwa amemjalia watoto.
Shirikisha
Soma 1 Samueli 11 Samueli 1:5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
lakini Hana humpa sehemu mara mbili; maana alimpenda Hana, ingawa BWANA alikuwa amemfunga tumbo.
Shirikisha
Soma 1 Samueli 1