1 Samueli 1:20
1 Samueli 1:20 Biblia Habari Njema (BHN)
Hivyo Hana akapata mimba, akajifungua mtoto wa kiume. Hana akamwita mtoto huyo Samueli, kwani alisema, “Nimemwomba kwa Mwenyezi-Mungu.”
Shirikisha
Soma 1 Samueli 11 Samueli 1:20 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ikawa, wakati ulipowadia, Hana akachukua mimba na kuzaa mtoto wa kiume; akamwita Samweli, akisema, Kwa kuwa nimemwomba kwa BWANA.
Shirikisha
Soma 1 Samueli 1