1 Samueli 1:18
1 Samueli 1:18 Biblia Habari Njema (BHN)
Hana akasema, “Naomba nami mtumishi wako nipate kibali mbele yako.” Hana akaenda zake, akala chakula na hakuwa na huzuni tena.
Shirikisha
Soma 1 Samueli 11 Samueli 1:18 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Naye akasema, Mjakazi wako na aone kibali machoni pako. Basi huyo mwanamke akaenda zake, naye akala chakula, wala uso wake haukuhuzunika tena.
Shirikisha
Soma 1 Samueli 1