1 Samueli 1:12
1 Samueli 1:12 Biblia Habari Njema (BHN)
Hana aliendelea kumwomba Mwenyezi-Mungu kwa muda mrefu, na kuhani Eli akawa anaangalia midomo yake.
Shirikisha
Soma 1 Samueli 11 Samueli 1:12 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ikawa, hapo alipoendelea kuomba mbele za BWANA, Eli akamwangalia kinywa chake.
Shirikisha
Soma 1 Samueli 1