1 Petro 4:8-9
1 Petro 4:8-9 Biblia Habari Njema (BHN)
Zaidi ya yote pendaneni kwa moyo wote, maana upendo hufunika dhambi nyingi. Muwe na ukarimu nyinyi kwa nyinyi bila kunung'unika.
Shirikisha
Soma 1 Petro 41 Petro 4:8-9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Zaidi ya yote iweni na bidii kubwa katika kupendana; kwa sababu upendano husitiri wingi wa dhambi. Mkaribishane ninyi kwa ninyi, pasipo kunung'unika
Shirikisha
Soma 1 Petro 41 Petro 4:8-9 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Zaidi ya yote iweni na juhudi nyingi katika kupendana; kwa sababu upendano husitiri wingi wa dhambi. Mkaribishane ninyi kwa ninyi, pasipo kunung’unika
Shirikisha
Soma 1 Petro 4